Logo YouVersion
Ikona Hľadať

Mattayo MT. 20:26-28

Mattayo MT. 20:26-28 SWZZB1921

Lakini kwemi ninyi haitakuwa hivi: bali ye yote atakae kuwa mkuu kwenu, na awe mkhudumu wenu; na ye yote atakae kuwa wa kwanza kwenu awe mtumishi wenu: kama vile Mwana wa Adamu asivyokuja kukhudumiwa, bali kukhudumu, na kutoa roho yake kuwa dia ya wengi.

Video pre Mattayo MT. 20:26-28