Logo YouVersion
Ikona Hľadať

Mattayo MT. 14:28-29

Mattayo MT. 14:28-29 SWZZB1921

Petro akamjibu, akasema, Bwana, ikiwa ni wewe, niamuru nije kwako juu ya maji. Akasema, Njoo. Petro akashuka chomboni, akatembea juu ya maji, illi kumwendea Yesu.

Video pre Mattayo MT. 14:28-29