1
Yohana 2:11
Neno: Maandiko Matakatifu
Huu, ndio uliokuwa muujiza wa kwanza Isa aliofanya Kana ya Galilaya. Hivyo Isa alidhihirisha utukufu wake, nao wanafunzi wake wakamwamini.
Porovnať
Preskúmať Yohana 2:11
2
Yohana 2:4
Isa akamwambia, “Mwanamke, nina nini nawe? Saa yangu haijawadia.”
Preskúmať Yohana 2:4
3
Yohana 2:7-8
Isa akawaambia wale watumishi, “Ijazeni hiyo mitungi maji.” Nao wakaijaza ile mitungi mpaka juu. Kisha akawaambia, “Sasa choteni hayo maji kidogo, mpelekeeni mkuu wa meza.” Hivyo wakachota, wakampelekea.
Preskúmať Yohana 2:7-8
4
Yohana 2:19
Isa akawajibu, “Libomoeni hili Hekalu, nami nitalijenga tena kwa siku tatu!”
Preskúmať Yohana 2:19
5
Yohana 2:15-16
Akatengeneza mjeledi kutokana na kamba, akawafukuza wote kutoka kwenye eneo la Hekalu, pamoja na kondoo na ng’ombe. Akazipindua meza za wale wabadili fedha na kuzimwaga fedha zao. Akawaambia wale waliokuwa wakiuza njiwa, “Waondoeni hapa! Mnathubutuje kuifanya nyumba ya Baba yangu kuwa mahali pa biashara?”
Preskúmať Yohana 2:15-16
Domov
Biblia
Plány
Videá