1
Mwanzo 18:14
Swahili Revised Union Version
Kuna neno gani lililo gumu la kumshinda BWANA? Kwa muhula wake nitakurudia, wakati huu huu mwakani, na Sara atapata mwana wa kiume.
Comparar
Explorar Mwanzo 18:14
2
Mwanzo 18:12
Kwa hiyo Sara akacheka moyoni mwake, akisema, Niwapo mkongwe, nitapata furaha, na bwana wangu mzee?
Explorar Mwanzo 18:12
3
Mwanzo 18:18
ikiwa Abrahamu atakuwa taifa kuu, hodari, na katika yeye mataifa yote ya dunia watabarikiwa?
Explorar Mwanzo 18:18
4
Mwanzo 18:23-24
Abrahamu akakaribia, akasema, Je! Utaharibu mwenye haki pamoja na mwovu? Huenda wakawapo wenye haki hamsini katika mji, utaharibu, wala hutauacha mji kwa ajili ya hao hamsini wenye haki waliomo?
Explorar Mwanzo 18:23-24
5
Mwanzo 18:26
BWANA akasema, Nikiona katika Sodoma wenye haki hamsini mjini, nitapaacha mahali pote kwa ajili yao.
Explorar Mwanzo 18:26
Início
Bíblia
Planos
Vídeos