1
Mwanzo 15:6
Swahili Revised Union Version
Akamwamini BWANA, naye akamhesabia jambo hili kuwa haki.
Comparar
Explorar Mwanzo 15:6
2
Mwanzo 15:1
Baada ya mambo hayo neno la BWANA likamjia Abramu katika njozi, likinena, Usiogope, Abramu, Mimi ni ngao yako, na thawabu yako itakuwa kubwa sana.
Explorar Mwanzo 15:1
3
Mwanzo 15:5
Akamtoa nje, akasema, Tazama juu mbinguni kisha uzihesabu nyota, kama unaweza kuzihesabu. Akamwambia, Ndivyo utakavyokuwa uzao wako.
Explorar Mwanzo 15:5
4
Mwanzo 15:4
Nalo neno la BWANA likamjia likinena, Huyu hatakurithi, bali utakayemzaa ndiye atakayekurithi.
Explorar Mwanzo 15:4
5
Mwanzo 15:13
BWANA akamwambia Abramu, Ujue hakika ya kwamba uzao wako utakuwa mgeni katika nchi isiyo yake, watawatumikia watu wale, nao watateswa kwa muda wa miaka mia nne.
Explorar Mwanzo 15:13
6
Mwanzo 15:2
Abramu akasema, Ee Bwana MUNGU, utanipa nini, nami naenda zangu hali sina mtoto, na atakayeimiliki nyumba yangu ni huyu Eliezeri, Mdameski?
Explorar Mwanzo 15:2
7
Mwanzo 15:18
Siku ile BWANA akafanya agano na Abramu, akasema, Uzao wako nimewapa nchi hii, kutoka mto wa Misri mpaka huo mto mkubwa, mto Frati
Explorar Mwanzo 15:18
8
Mwanzo 15:16
Na kizazi cha nne kitarudi hapa, maana uovu wa Waamori haujatimia bado.
Explorar Mwanzo 15:16
Início
Bíblia
Planos
Vídeos