1
Marko MT. 7:21-23
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Kwa maana ndani ya mioyo ya watu hutoka mawazo mabaya, zina, asharati, wizi, uuaji, tamaa mbaya, hila, jeuri, kijicho, matukano, kiburi, upumbafu. Haya yote yaliyo maovu yatoka ndani, nayo yamtia mtu najis.
Compare
Marko MT. 7:21-23ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
2
Marko MT. 7:15
Hapana kitu kilicho nje ya mtu ambacho kikimwingia chaweza kumtia najis, bali vimtokayo, ndivyo vimtiavyo najis yule mtu.
Marko MT. 7:15ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
3
Marko MT. 7:6
Akawaambia, Isaya aliwakhubiri vema ninyi wanaliki, kama ilivyoandikwa, Watu hawa hunibeshimu kwa midomo, Bali mioyo yao iko mbali nami
Marko MT. 7:6ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
4
Marko MT. 7:7
Lakini waniabudu ibada ya burre, Wakifundisha mafundisho yaliyo maagizo ya wana Adamu.
Marko MT. 7:7ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
5
Marko MT. 7:8
Kwa maana mmeiacha amri ya Mungu, na kuzishika hadithi za wana Adamu, kuosha midumu na vikombe: na mengine mengi ya namna hii mwayafanya.
Marko MT. 7:8ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
Home
ਬਾਈਬਲ
Plans
ਵੀਡੀਓ