1
Marko MT. 5:34
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Akamwambia, Binti imani yako imekuponya, enenda zako kwa amani, ukawe mzima, usiwe na msiba wako tena.
Compare
Marko MT. 5:34ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
2
Marko MT. 5:25-26
Na mwanamke mmoja mwenye kutoka damu muda wa miaka thenashara, na kuteswa mengi kwa mikono ya tabibu wengi, akagharimu vitu vyote alivyo navyo, kusimfae hatta kidogo, bali hali yake ilizidi kuwa mbaya
Marko MT. 5:25-26ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
3
Marko MT. 5:29
Marra chemchemi ya damu yake ikakauka, akafahamu mwilini mwake kwamba amepona msiba ule.
Marko MT. 5:29ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
4
Marko MT. 5:41
Akamshika mkono yule kijana, akamwambla, Talitha, kumi: tafsiri yake, Kijana, nakuambia, Ondoka.
Marko MT. 5:41ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
5
Marko MT. 5:35-36
Hatta alipokuwa akisema wakaja watu kutoka kwa mkuu wa sunagogi, wakinena, Binti yako amekwisha kufa: ya nini kuzidi kumsumbua mwalimu? Yesu, marra alipolisikia lile neno likinenwa, akamwambia mkuu wa sunagogi, Usiogope, amini tu.
Marko MT. 5:35-36ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
6
Marko MT. 5:8-9
Kwa sababu amemwambia, Ewe pepo mchafu, mtoke mtu huyu. Akamwambia, Jina lako nani? Akajibu, akamwambia, Jina langu Legioni: kwa kuwa tu wengi.
Marko MT. 5:8-9ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
Home
ਬਾਈਬਲ
Plans
ਵੀਡੀਓ