1
Marko MT. 11:24
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Kwa sababu biyo nawaambieni, Yo yote myaombayo mkisali, aminini ya kwamba mnayapokea nayo yatakuwa yenu.
Compare
Marko MT. 11:24ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
2
Marko MT. 11:23
Amin, nawaambieni, Ye yote atakaenambia mlima huu, Ngʼoka ukatupwe baharini, asione shaka moyoni mwake, bali aamini kwamba hayo asemayo yamekuwa, yatamtukia hayohayo aliyosema.
Marko MT. 11:23ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
3
Marko MT. 11:25
Nanyi, killa msimamapo na kusali, sameheni, kama mkiwa na neno juu ya mtu: illi Baba yenu aliye mbinguni awasamehe na ninyi makosa yenu.
Marko MT. 11:25ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
4
Marko MT. 11:22
Yesu akajibu, akamwambia, Mwe na imani kwa Mungu
Marko MT. 11:22ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
5
Marko MT. 11:17
Akafundisha, akiwaambia, Haikuandikwa, Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala kwa mataifa yote? Bali nanyi mmeifanya kuwa pango ya wanyangʼanyi.
Marko MT. 11:17ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
6
Marko MT. 11:9
Watu waliotangulia na wale waliofuata wakapaaza sauti zao, wakinena, Utuokoe sasa; amebarikiwa ajae kwa jina la Bwana
Marko MT. 11:9ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
7
Marko MT. 11:10
umebarikiwa ufalme ujao kwa jina la Bwana, ufalme wa baba yetu Daud. Utuokoe sasa, wewe uliye juu.
Marko MT. 11:10ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
Home
ਬਾਈਬਲ
Plans
ਵੀਡੀਓ