1
Yohana MT. 11:25-26
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Yesu akamwambia, Mimi ni ufufuo na uzima; aniaminiye mimi, ijapo afe, atakuwa ataishi, na killa mwenye uzima na kuniamini mimi hatakufa kabisa hatta milele. Je! waamini haya?
Sammenlign
Utforsk Yohana MT. 11:25-26
2
Yohana MT. 11:40
Yesu akamwambia, Sikukuambia ya kwamba ukiamini utauona utukufu wa Mungu? Bassi wakaliondoa lile jiwe.
Utforsk Yohana MT. 11:40
3
Yohana MT. 11:35
Yesu akatoka machozi.
Utforsk Yohana MT. 11:35
4
Yohana MT. 11:4
Yesu aliposikia, alisema, Ugonjwa huu si wa mauti, bali kwa ajili ya utukufu wake Mungu, illi Mwana wa Mungu atukuzwe kwa huo.
Utforsk Yohana MT. 11:4
5
Yohana MT. 11:43-44
Akiisha kusema haya, akalia kwa sauti kuu, Lazaro, toka, njoo huku. Akatoka nje yule aliyekufa, amefungwa saanda miguuni na mikononi, na uso wake umefungwa kitambaa. Yesu akawaambia, Mfungueni, kamwacheni aende zake.
Utforsk Yohana MT. 11:43-44
6
Yohana MT. 11:38
Bassi Yesu akiugua tena nafsini mwake akatika kaburini. Nalo lilikuwa pango, na jiwe limewekwa juu yake.
Utforsk Yohana MT. 11:38
7
Yohana MT. 11:11
Aliyasema haya: kiisha baada ya liaya akawaambia, Lazaro rafiki yetu amelala; lakini ninakwenda nipate kumwamsha.
Utforsk Yohana MT. 11:11
Hjem
Bibel
Leseplaner
Videoer