Mattayo MT. 11:4-5

Mattayo MT. 11:4-5 SWZZB1921

Yesu akajibu akawaambia, Enendeni mkamweleze Yohana mnayoyasikia na kuyaona: vipofu wanapata kuona, viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakasika, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa, na maskini wanakhubiriwa khabari njema.