1
Mwa 41:16
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Yusufu akamjibu Farao, akisema, Si mimi; Mungu atampa Farao majibu ya amani.
Vergelijk
Ontdek Mwa 41:16
2
Mwa 41:38
Farao akawaambia watumwa wake, Tupate wapi mtu kama huyu, mwenye roho ya Mungu ndani yake?
Ontdek Mwa 41:38
3
Mwa 41:39-40
Farao akamwambia Yusufu, Kwa kuwa Mungu amekufahamisha hayo yote, hapana mwenye akili na hekima kama wewe. Basi wewe utakuwa juu ya nyumba yangu, na kwa neno lako watu wangu watatawaliwa. Katika kiti cha enzi tu nitakuwa mkuu kuliko wewe.
Ontdek Mwa 41:39-40
4
Mwa 41:52
Na wa pili akamwita jina lake Efraimu, maana alisema, Mungu amenipa uzazi katika nchi ya mateso yangu.
Ontdek Mwa 41:52
5
Mwa 41:51
Yusufu akamwita jina lake yule aliyezaliwa kwanza, Manase, maana alisema, Mungu amenisahaulisha taabu zangu zote, na nyumba yote ya baba yangu.
Ontdek Mwa 41:51
Thuisscherm
Bijbel
Leesplannen
Video's