YouVersion လိုဂို
ရှာရန် အိုင်ကွန်

Mwanzo 1:26-27

Mwanzo 1:26-27 SCLDC10

Kisha Mungu akasema, “Tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; atawale samaki wa baharini, ndege wa angani, wanyama wa kufugwa, dunia yote na viumbe vyote vitambaavyo.” Basi, Mungu akaumba mtu kwa mfano wake; naam, kwa mfano wake Mungu alimuumba. Aliwaumba mwanamume na mwanamke.

Mwanzo 1 ကိုဖတ်ပါ။

Mwanzo 1:26-27 အဖို့ ကျမ်းပိုဒ်ဓာတ်ပုံများ

Mwanzo 1:26-27 - Kisha Mungu akasema, “Tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; atawale samaki wa baharini, ndege wa angani, wanyama wa kufugwa, dunia yote na viumbe vyote vitambaavyo.” Basi, Mungu akaumba mtu kwa mfano wake; naam, kwa mfano wake Mungu alimuumba. Aliwaumba mwanamume na mwanamke.