1
Mdo 3:19
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Tubuni basi, mrejee, ili dhambi zenu zifutwe, zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwako kwake Bwana
နှိုင်းယှဉ်
Mdo 3:19ရှာဖွေလေ့လာလိုက်ပါ။
2
Mdo 3:6
Lakini Petro akasema, Mimi sina fedha, wala dhahabu, lakini nilicho nacho ndicho nikupacho. Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, simama uende.
Mdo 3:6ရှာဖွေလေ့လာလိုက်ပါ။
3
Mdo 3:7-8
Akamshika mkono wa kuume, akamwinua, mara nyayo zake na vifundo vya miguu yake vikatiwa nguvu. Akaondoka upesi akasimama, akaanza kwenda; akaingia ndani ya hekalu pamoja nao, akienda, akiruka-ruka, na kumsifu Mungu.
Mdo 3:7-8ရှာဖွေလေ့လာလိုက်ပါ။
4
Mdo 3:16
Na kwa imani katika jina lake, jina lake limemtia nguvu mtu huyu mnayemwona na kumjua; na imani ile iliyo kwake yeye imempatia huyu uzima huu mkamilifu mbele yenu ninyi nyote.
Mdo 3:16ရှာဖွေလေ့လာလိုက်ပါ။
ပင်မစာမျက်နှာ
ကျမ်းစာ
အစီအစဉ်
ဗီဒီယို