1
Mwanzo 10:8
Swahili Revised Union Version
Kushi akamzaa Nimrodi, akaanza kuwa mtu hodari katika nchi.
Bandingkan
Selidiki Mwanzo 10:8
2
Mwanzo 10:9
Alikuwa hodari kuwinda wanyama mbele za BWANA. Kwa hiyo watu hunena, Kama Nimrodi, hodari wa kuwinda wanyama mbele za BWANA.
Selidiki Mwanzo 10:9
Halaman Utama
Alkitab
Pelan
Video