YouVersion लोगो
सर्च आयकॉन

Yohana 14:16-17

Yohana 14:16-17 TKU

Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine atakayekuwa nanyi siku zote. Huyo Msaidizi ni Roho wa Kweli ambaye watu wa ulimwengu hawawezi kumpokea, kwa sababu hawamwoni wala hawamjui. Lakini ninyi mnamjua kwa kuwa anakaa pamoja nanyi, na atakuwa ndani yenu.

Yohana 14 वाचा

Yohana 14:16-17 साठी चलचित्र