1
Yohana 1:12
Swahili Revised Union Version
Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake
Харьцуулах
Yohana 1:12 г судлах
2
Yohana 1:1
Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
Yohana 1:1 г судлах
3
Yohana 1:5
Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza.
Yohana 1:5 г судлах
4
Yohana 1:14
Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
Yohana 1:14 г судлах
5
Yohana 1:3-4
Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika chochote kilichofanyika. Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.
Yohana 1:3-4 г судлах
6
Yohana 1:29
Kesho yake alimwona Yesu akija kwake, akasema, Tazama, Mwana-kondoo wa Mungu, aichukuaye dhambi ya ulimwengu!
Yohana 1:29 г судлах
7
Yohana 1:10-11
Alikuwako ulimwenguni, hata kwa yeye ulimwengu ulipata kuwako, wala ulimwengu haukumtambua. Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea.
Yohana 1:10-11 г судлах
8
Yohana 1:9
Kulikuwako Nuru halisi, amtiaye nuru kila mtu, akija katika ulimwengu.
Yohana 1:9 г судлах
9
Yohana 1:17
Kwa kuwa torati ilitolewa kwa mkono wa Musa; neema na kweli zilikuja kwa mkono wa Yesu Kristo.
Yohana 1:17 г судлах
Нүүр хуудас
Библи
Тѳлѳвлѳгѳѳ
Видео