1
Mwanzo 4:7
Biblica® Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Ukifanya lililo sawa, je, hutakubalika? Lakini usipofanya lililo sawa, dhambi inakuvizia mlangoni mwako, ikikutamani wewe, lakini inakupasa uishinde.”
Спореди
Истражи Mwanzo 4:7
2
Mwanzo 4:26
Naye Sethi akamzaa mwana, akamwita jina Enoshi. Wakati huo watu wakaanza kuliitia jina la Mwenyezi Mungu.
Истражи Mwanzo 4:26
3
Mwanzo 4:9
Kisha Mwenyezi Mungu akamuuliza Kaini, “Ndugu yako Habili yuko wapi?” Akamjibu, “Sijui. Je, mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?”
Истражи Mwanzo 4:9
4
Mwanzo 4:10
Mwenyezi Mungu akasema, “Umefanya nini? Sikiliza! Damu ya ndugu yako inanililia mimi kutoka ardhini.
Истражи Mwanzo 4:10
5
Mwanzo 4:15
Lakini Mwenyezi Mungu akamwambia, “La, sivyo! Ikiwa mtu yeyote atamuua Kaini, atalipizwa kisasi mara saba.” Kisha Mwenyezi Mungu akamwekea Kaini alama ili yeyote angemwona asimuue.
Истражи Mwanzo 4:15
Дома
Библија
Планови
Видеа