1
Yohane 20:21-22
BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA
Yesu akawaambia tena, “Amani kwenu! Kama vile Baba alivyonituma mimi, nami nawatuma nyinyi.” Alipokwisha sema hayo, akawapulizia na kuwaambia, “Pokeeni Roho Mtakatifu.
Спореди
Истражи Yohane 20:21-22
2
Yohane 20:29
Yesu akamwambia, “Je, unaamini kwa kuwa umeniona? Heri yao wale ambao hawajaona, lakini wameamini.”
Истражи Yohane 20:29
3
Yohane 20:27-28
Kisha akamwambia Thoma, “Lete kidole chako hapa uitazame mikono yangu; lete mkono wako ukautie ubavuni mwangu. Usiwe na mashaka, ila amini!” Thoma akamjibu, “Bwana wangu na Mungu wangu!”
Истражи Yohane 20:27-28
Дома
Библија
Планови
Видеа