1
Yn 13:34-35
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Amri mpya nawapa, Mpendane. Kama vile nilivyowapenda ninyi, nanyi mpendane vivyo hivyo. Hivyo watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu, mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi.
Спореди
Истражи Yn 13:34-35
2
Yn 13:14-15
Basi ikiwa mimi, niliye Bwana na Mwalimu, nimewatawadha miguu, imewapasa vivyo kutawadhana miguu ninyi kwa ninyi. Kwa kuwa nimewapa kielelezo; ili kama mimi nilivyowatendea, nanyi mtende vivyo.
Истражи Yn 13:14-15
3
Yn 13:7
Yesu akajibu, akamwambia, Nifanyalo wewe hujui sasa; lakini utalifahamu baadaye.
Истражи Yn 13:7
4
Yn 13:16
Amin, amin, nawaambia ninyi, Mtumwa si mkuu kuliko bwana wake; wala mtume si mkuu kuliko yeye aliyempeleka.
Истражи Yn 13:16
5
Yn 13:17
Mkiyajua hayo, heri ninyi mkiyatenda.
Истражи Yn 13:17
6
Yn 13:4-5
aliondoka chakulani; akaweka kando mavazi yake, akatwaa kitambaa, akajifunga kiunoni. Kisha akatia maji katika bakuli, akaanza kuwatawadha wanafunzi miguu, na kuifuta kwa kile kitambaa alichojifunga.
Истражи Yn 13:4-5
Дома
Библија
Планови
Видеа