YouVersion logotips
Meklēt ikonu

Mwanzo 1:26-27

Mwanzo 1:26-27 SRUV

Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila kiumbe kitambaacho nchini. Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.

Lasi Mwanzo 1

Verse Image for Mwanzo 1:26-27

Mwanzo 1:26-27 - Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila kiumbe kitambaacho nchini. Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.

Bezmaksas lasīšanas plāni un pārdomas par tēmu Mwanzo 1:26-27