1
Luka 10:19
Swahili Revised Union Version
Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge, na nguvu zote za yule adui, wala hakuna kitu kitakachowadhuru.
Kokisana
Luka Luka 10:19
2
Luka 10:41-42
Bwana akajibu akamwambia, Martha, Martha, unasumbuka na kufadhaika kwa ajili ya vitu vingi; lakini kinatakiwa kitu kimoja tu; na Mariamu amelichagua fungu lililo jema, ambalo hatanyang'anywa.
Luka Luka 10:41-42
3
Luka 10:27
Akajibu akasema, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote, na kwa akili zako zote; na jirani yako kama nafsi yako.
Luka Luka 10:27
4
Luka 10:2
Akawaambia, Mavuno ni mengi, lakini wafanya kazi ni wachache; basi mwombeni Bwana wa mavuno apeleke wafanya kazi katika mavuno yake.
Luka Luka 10:2
5
Luka 10:36-37
Waonaje wewe, katika hao watatu, ni yupi aliyekuwa jirani yake yule aliyeangukia kati ya wanyang'anyi? Akasema, Ni huyo aliyemwonea huruma. Yesu akamwambia, Nenda zako, nawe ukafanye vivyo hivyo.
Luka Luka 10:36-37
6
Luka 10:3
Nendeni, angalieni, nawatuma kama wana-kondoo kati ya mbwamwitu.
Luka Luka 10:3
Ndako
Biblia
Bibongiseli
Bavideo