1
Luka 23:34
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Isa akasema, “Baba, wasamehe, kwa maana hawajui walitendalo!” Wakagawana nguo zake kwa kupiga kura.
ತಾಳೆಮಾಡಿ
Luka 23:34 ಅನ್ವೇಷಿಸಿ
2
Luka 23:43
Isa akamjibu, “Amin, nakuambia, leo utakuwa pamoja nami Paradiso.”
Luka 23:43 ಅನ್ವೇಷಿಸಿ
3
Luka 23:42
Kisha akasema, “Isa, unikumbuke utakapokuja katika ufalme wako.”
Luka 23:42 ಅನ್ವೇಷಿಸಿ
4
Luka 23:46
Isa akapaza sauti yake akasema, “Baba, mikononi mwako naikabidhi roho yangu.” Baada ya kusema haya, akakata roho.
Luka 23:46 ಅನ್ವೇಷಿಸಿ
5
Luka 23:33
Walipofika mahali paitwapo Fuvu la Kichwa, hapo ndipo walimsulubisha Isa pamoja na hao wahalifu, mmoja upande wake wa kuume, na mwingine upande wake wa kushoto.
Luka 23:33 ಅನ್ವೇಷಿಸಿ
6
Luka 23:44-45
Ilikuwa kama saa sita mchana, nalo giza likafunika nchi yote hadi saa tisa, kwa sababu jua liliacha kutoa nuru. Pazia la Hekalu likachanika vipande viwili.
Luka 23:44-45 ಅನ್ವೇಷಿಸಿ
7
Luka 23:47
Yule jemadari alipoona yaliyotukia, akamsifu Mungu, akasema, “Hakika, mtu huyu alikuwa mwenye haki.”
Luka 23:47 ಅನ್ವೇಷಿಸಿ
ಮುಖಪುಟ
ಬೈಬಲ್
ಯೋಜನೆಗಳು
ವೀಡಿಯೊಗಳು