Luka 14:34-35
Luka 14:34-35 TKU
Chumvi ni kitu kizuri; lakini chumvi ikipoteza ladha yake, huwezi kuitengenezea ladha tena. Haifai. Huwezi hata kuitumia kama uchafu au mbolea. Watu huitupa tu. Mnaonisikiliza, sikilizeni!”