1
Yohana MT. 8:12
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Bassi Yesu akanena nao tena, akisema. Mimi ni nuru ya ulimwengu; anifuatae hatakwenda katika giza kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.
Compare
Explore Yohana MT. 8:12
2
Yohana MT. 8:32
tena mtaifahamu kweli, nayo kweli itawaweka huru.
Explore Yohana MT. 8:32
3
Yohana MT. 8:31
Bassi Yesu akawaamhia Wayahudi wale waliomwamini, Ninyi mkikaa katika neno langu, mu wanafunzi wangu kweli kweli
Explore Yohana MT. 8:31
4
Yohana MT. 8:36
Bassi Mwana akiwaweka huru mtakuwa huru kweli kweli.
Explore Yohana MT. 8:36
5
Yohana MT. 8:7
Nao wakazidi kumhoji, akajiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu awe wa kwanza wa kumtupia jiwe.
Explore Yohana MT. 8:7
6
Yohana MT. 8:34
Yesu akawajibu, Amin, amin, nawaambieni, Killa atendae dhambi, ni mtumwa wa dhambi.
Explore Yohana MT. 8:34
7
Yohana MT. 8:10-11
Yesu akajiinua asimwone mtu illa yule mwanamke, akamwambia, Mwanamke, wako wapi wale washitaki wako? Hapana aliyekuhukumu? Akamwambia, Hapana Bwana. Yesu akamwambia, Nami sikuhukumu. Enenda, wala usitende dhambi tena.
Explore Yohana MT. 8:10-11
Home
Bible
გეგმები
Videos