1
Yohana MT. 4:24
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Mungu ni roho, nao wamwabuduo imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
Compare
Explore Yohana MT. 4:24
2
Yohana MT. 4:23
Lakini saa inakuja, na sasa ipo, ambayo wenye ibada khalisi watamwabudu Baba katika roho na kweli: kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu.
Explore Yohana MT. 4:23
3
Yohana MT. 4:14
walakini ye yote atakaekunywa maji yale nitakayompa mimi, hataona kiu milele, bali yale maji nitakayompa yatakuwa ndani yake chemchemi ya maji, yakibubujika hatta uzima wa milele.
Explore Yohana MT. 4:14
4
Yohana MT. 4:10
Yesu akajibu akamwambia, Kama ungaliijua karama ya Mungu, nae ni nani akuambiae, Nipe maji ninywe, ungalimwomba yeye, nae angalikupa maji yaliyo hayi.
Explore Yohana MT. 4:10
5
Yohana MT. 4:34
Yesu akawaambia, Chakula changu ndicho hiki, niyatende mapenzi yake aliyenipeleka nikaimalize kazi yake.
Explore Yohana MT. 4:34
6
Yohana MT. 4:11
Yule mwanamke akamwambia, Bwana, huna kitu cha kutekea na kisima kinakwenda chini sana; bassi, umeyapata wapi haya maji yaliyo hayi?
Explore Yohana MT. 4:11
7
Yohana MT. 4:25-26
Yule mwanamke akamwambia, Najua ya kuwa yuaja Masihi (aitwae Kristo). Atakapokuja yeye, atatufunulia yote. Yesu akamwambia, Mimi nisemae nawe, ndiye.
Explore Yohana MT. 4:25-26
8
Yohana MT. 4:29
Njoni, nitazame mtu aliyeniambia mambo yote niliyoyatenda. Je! haimkini huyu kuwa ndiye Kristo?
Explore Yohana MT. 4:29
Home
Bible
გეგმები
Videos