1
Lk 19:10
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Kwa kuwa Mwana wa Adamu alikuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea.
Compare
Explore Lk 19:10
2
Lk 19:38
wakasema, Ndiye mbarikiwa Mfalme ajaye kwa jina la Bwana; amani mbinguni, na utukufu huko juu.
Explore Lk 19:38
3
Lk 19:9
Yesu akamwambia, Leo wokovu umefika nyumbani humu, kwa sababu huyu naye ni mwana wa Ibrahimu.
Explore Lk 19:9
4
Lk 19:5-6
Na Yesu, alipofika mahali pale, alitazama juu, akamwambia, Zakayo, shuka upesi, kwa kuwa leo imenipasa kushinda nyumbani mwako. Akafanya haraka, akashuka, akamkaribisha kwa furaha.
Explore Lk 19:5-6
5
Lk 19:8
Zakayo akasimama, akamwambia Bwana, Tazama, Bwana, nusu ya mali yangu nawapa maskini, na ikiwa nimenyang’anya mtu kitu kwa hila namrudishia mara nne.
Explore Lk 19:8
6
Lk 19:39-40
Baadhi ya Mafarisayo waliokuwa katika mkutano wakamwambia, Mwalimu, uwakanye wanafunzi wako. Akajibu, akasema, Nawaambia ninyi, wakinyamaza hawa, mawe yatapiga kelele.
Explore Lk 19:39-40
Home
Bible
გეგმები
Videos