1
Yohana 4:24
Neno: Maandiko Matakatifu
Mungu ni Roho na wote wanaomwabudu imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.”
比較
Yohana 4:24で検索
2
Yohana 4:23
Lakini saa yaja, tena ipo, ambapo wale waabuduo halisi, watamwabudu Baba katika roho na kweli. Watu wanaoabudu namna hii, ndio Baba anawatafuta.
Yohana 4:23で検索
3
Yohana 4:14
Lakini yeyote anywaye maji nitakayompa, hataona kiu kamwe. Maji nitakayompa yatakuwa ndani yake chemchemi ya maji yakibubujika uzima wa milele.”
Yohana 4:14で検索
4
Yohana 4:10
Isa akajibu akamwambia, “Kama ungelijua karama ya Mungu, naye ni nani anayekuambia, Nipe maji ninywe, wewe ungelimwomba yeye, naye angelikupa maji yaliyo hai.”
Yohana 4:10で検索
5
Yohana 4:34
Lakini Isa akawajibu, “Chakula changu ni kufanya mapenzi ya Mungu ambaye amenituma na kuikamilisha kazi yake.
Yohana 4:34で検索
6
Yohana 4:11
Yule mwanamke akamjibu, “Bwana, wewe huna chombo cha kutekea maji na kisima hiki ni kirefu. Hayo maji ya uzima utayapata wapi?
Yohana 4:11で検索
7
Yohana 4:25-26
Yule mwanamke akamwambia, “Ninafahamu kwamba Masiya (aitwaye Al-Masihi) anakuja. Yeye akija, atatueleza mambo yote.” Isa akamwambia, “Mimi ninayezungumza nawe, ndiye.”
Yohana 4:25-26で検索
8
Yohana 4:29
“Njooni mkamwone mtu aliyeniambia kila kitu nilichotenda! Je, yawezekana huyu ndiye Al-Masihi?”
Yohana 4:29で検索
ホーム
聖書
読書プラン
ビデオ