1
Mattayo MT. 9:37-38
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Ndipo akawaambia wanafunzi wake, Mavuno ni makubwa, bali watenda kazi wachache. Bassi mwombeni Bwana wa mavuno, apeleke watenda kazi katika mavuno yake.
比較
Mattayo MT. 9:37-38で検索
2
Mattayo MT. 9:13
Lakini shikeni njia, mkajifunze maana yake maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka: kwa maana sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi wapate kutubu.
Mattayo MT. 9:13で検索
3
Mattayo MT. 9:36
Na alipowaona makutano, akawahurumia, kwa maana walikuwa wamechoka na kutawanyika kama kondoo wasio na mchunga.
Mattayo MT. 9:36で検索
4
Mattayo MT. 9:12
Nae Yesu akisikia, akawaambia, Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi.
Mattayo MT. 9:12で検索
5
Mattayo MT. 9:35
Na Yesu alikuwa akizunguka katika miji yote na vijiji, akifundisha katika masunagogi yao, akikhubiri injili ya ufalme, akiponya magonjwa yote na dhaifu zote katika watu.
Mattayo MT. 9:35で検索
ホーム
聖書
読書プラン
ビデオ