1
Yohana MT. 3:16
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hatta akampeleka Mwana wake wa pekee, illi mtu aliye yote amwaminiye asipotee, bali apate uzima wa milele.
比較
Yohana MT. 3:16で検索
2
Yohana MT. 3:17
Maana Mungu hakumpeleka Mwana wake ulimwenguni auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe nae.
Yohana MT. 3:17で検索
3
Yohana MT. 3:3
Yesu akajibu, akamwambia, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa marra ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu.
Yohana MT. 3:3で検索
4
Yohana MT. 3:18
Amwaminiye hahukumiwi; asiyemwamini amekwisha kuhukumiwa, kwa maana hakuliamini jina la Mwana wa pekee wa Mungu.
Yohana MT. 3:18で検索
5
Yohana MT. 3:19
Na hii ndiyo hukumu, ya kuwa nuru imekuja ulimwenguni, watu wakapenda giza zaidi ya nuru; kwa maana matendo yao yalikuwa maovu.
Yohana MT. 3:19で検索
6
Yohana MT. 3:30
Yeye hana buddi kuzidi, bali mimi kupungua.
Yohana MT. 3:30で検索
7
Yohana MT. 3:20
Maana killa atendae manyonge huichukia nuru, wala haji kwenye nuru, matendo yake yasikemewe
Yohana MT. 3:20で検索
8
Yohana MT. 3:36
Amwaminiye Mwana ana uzima wa milele; na asiyemtii Mwana hataona uzima, hali ghadhabu ya Mungu inamkalia.
Yohana MT. 3:36で検索
9
Yohana MT. 3:14
Na kama Musa alivyomwinua nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana buddi kuinuliwa
Yohana MT. 3:14で検索
10
Yohana MT. 3:35
Baba ampenda Mwana, amempa vyote mikononi mwake.
Yohana MT. 3:35で検索
ホーム
聖書
読書プラン
ビデオ