1
Mwanzo 9:12-13
Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza
Tena Mungu akasema, “Hii ndiyo alama ya agano ninalofanya kati yangu nanyi na kila kiumbe hai kilicho pamoja nanyi kwa vizazi vyote vijavyo: naweka upinde wangu mawinguni, nao utakuwa ishara ya agano kati yangu na dunia.
比較
Mwanzo 9:12-13で検索
2
Mwanzo 9:16
Huo upinde utakapotokea mawinguni, nitauona na kulikumbuka agano hilo la milele kati yangu na viumbe vyote hai duniani.”
Mwanzo 9:16で検索
3
Mwanzo 9:6
Amwagaye damu ya binadamu, damu yake itamwagwa na binadamu; maana binadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu.
Mwanzo 9:6で検索
4
Mwanzo 9:1
Mungu akambariki Noa na wanawe, akiwaambia, “Zaeni, muongezeke, mkaijaze nchi.
Mwanzo 9:1で検索
5
Mwanzo 9:3
Wanyama wote hai watakuwa chakula chenu kama vile nilivyowapa mimea kuwa chakula chenu.
Mwanzo 9:3で検索
6
Mwanzo 9:2
Wanyama wote, ndege wote wa angani, viumbe wote watambaao juu ya nchi na samaki wote wa baharini watakuwa na hofu na kuwaogopa nyinyi. Wote wamewekwa chini ya mamlaka yenu.
Mwanzo 9:2で検索
7
Mwanzo 9:7
Nanyi zaeni, mkaongezeke; zaeni kwa wingi, mkaongezeke nchini.”
Mwanzo 9:7で検索
ホーム
聖書
読書プラン
ビデオ