1
Yn 1:12
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake
比較
Yn 1:12で検索
2
Yn 1:1
Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
Yn 1:1で検索
3
Yn 1:5
Nayo nuru yang’aa gizani, wala giza halikuiweza.
Yn 1:5で検索
4
Yn 1:14
Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
Yn 1:14で検索
5
Yn 1:3-4
Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.
Yn 1:3-4で検索
6
Yn 1:29
Siku ya pili yake amwona Yesu anakuja kwake, akasema, Tazama, Mwana-kondoo wa Mungu, aichukuaye dhambi ya ulimwengu!
Yn 1:29で検索
7
Yn 1:10-11
Alikuwako ulimwenguni, hata kwa yeye ulimwengu ulipata kuwako, wala ulimwengu haukumtambua. Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea.
Yn 1:10-11で検索
8
Yn 1:9
Kulikuwako Nuru halisi, amtiaye nuru kila mtu, akija katika ulimwengu.
Yn 1:9で検索
9
Yn 1:17
Kwa kuwa torati ilitolewa kwa mkono wa Musa; neema na kweli zilikuja kwa mkono wa Yesu Kristo.
Yn 1:17で検索
ホーム
聖書
読書プラン
ビデオ