1
Yohana 1:12
Swahili Roehl Bible 1937
Lakini wo wote waliompokea aliwapa nguvu, wapate kuwa wana wa Mungu, ndio wale waliolitegemea Jina lake.
Összehasonlít
Fedezd fel: Yohana 1:12
2
Yohana 1:1
Hapo mwanzo palikuwapo Neno; hilo Neno lilikuwapo kwa Mungu, naye Mungu ndiye aliyekuwa Neno.
Fedezd fel: Yohana 1:1
3
Yohana 1:5
Mwanga huu humulika gizani, lakini giza haikuushika.
Fedezd fel: Yohana 1:5
4
Yohana 1:14
Neno lilipopata kuwa mtu, akatua kwetu, nasi tukauona utukufu wake, ni utukufu kama wa mwana aliyezaliwa wa pekee na baba yake, kwani alikuwa mwenye magawio na kweli yote.*
Fedezd fel: Yohana 1:14
5
Yohana 1:3-4
Vyote viliumbwa nalo, pasipo hilo hakuna hata kimoja kilichoumbwa. Mwake hilo ndimo, uzima ulimokuwa, nao uzima ulikuwa mwanga wa watu.
Fedezd fel: Yohana 1:3-4
6
Yohana 1:29
Kesho yake akamwona Yesu, akija kwake, akasema: Mtazameni mwana kondoo wa Mungu anayeyaondoa makosa ya ulimwengu!
Fedezd fel: Yohana 1:29
7
Yohana 1:10-11
Ulikuwamo ulimwenguni, nao ulimwengu uliumbwa nao, lakini ulimwengu haukuutambua. Alipofika mwake, wao waliokuwa wake hawakumpokea.
Fedezd fel: Yohana 1:10-11
8
Yohana 1:9
Ndio mwanga wa kweli unaomwangaza kila mtu, tena ndio uliokuwa ukija ulimwenguni.
Fedezd fel: Yohana 1:9
9
Yohana 1:17
Kwani Maonyo tulipewa na Mose, lakini ugawiaji na ukweli umekuja na Yesu Kristo.
Fedezd fel: Yohana 1:17
Kezdőoldal
Biblia
Olvasótervek
Videók