Yohana 6:19-20

Yohana 6:19-20 NENO

Wanafunzi walipokuwa wameenda mwendo wa maili tatu au nne, walimwona Isa akitembea juu ya maji akikaribia mashua, nao wakaogopa sana. Lakini Isa akawaambia, “Ni mimi. Msiogope.”