1
Yohana 9:4
Biblica® Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Yanipasa kuzifanya kazi zake yeye aliyenituma wakati bado ni mchana, kwa kuwa usiku waja ambapo hakuna mtu awezaye kufanya kazi.
Konpare
Eksplore Yohana 9:4
2
Yohana 9:5
Wakati niko ulimwenguni, mimi ni nuru ya ulimwengu.”
Eksplore Yohana 9:5
3
Yohana 9:2-3
Wanafunzi wake wakamuuliza, “Mwalimu, ni nani aliyetenda dhambi; ni huyu mtu au wazazi wake hata azaliwe kipofu?” Isa akawajibu, “Huyu mtu wala wazazi wake hawakutenda dhambi. Alizaliwa kipofu ili kazi za Mungu zidhihirishwe katika maisha yake.
Eksplore Yohana 9:2-3
4
Yohana 9:39
Isa akasema, “Nimekuja ulimwenguni humu kwa ajili ya kuhukumu, ili wale walio vipofu wapate kuona, nao wale wanaoona wawe vipofu.”
Eksplore Yohana 9:39
Akèy
Bib
Plan yo
Videyo