1
Luka 18:1
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Kisha Isa akawapa wanafunzi wake mfano ili kuwaonesha kuwa yawapasa kuomba pasipo kukata tamaa.
Konpare
Eksplore Luka 18:1
2
Luka 18:7-8
Je, Mungu hatawatendea haki wateule wake wanaomlilia usiku na mchana? Je, atakawia kuwasaidia? Ninawaambia, atawapatia haki upesi. Lakini je, Mwana wa Adamu atakapokuja ataikuta imani duniani?”
Eksplore Luka 18:7-8
3
Luka 18:27
Isa akajibu, “Yasiyowezekana kwa wanadamu yanawezekana kwa Mungu.”
Eksplore Luka 18:27
4
Luka 18:4-5
“Kwa muda mrefu yule hakimu alikataa. Lakini hatimaye akasema moyoni mwake, ‘Ijapokuwa simwogopi Mungu wala simjali mwanadamu, lakini kwa kuwa huyu mjane ananisumbuasumbua, nitahakikisha amepata haki yake ili asiendelee kunichosha kwa kunijia mara kwa mara!’ ”
Eksplore Luka 18:4-5
5
Luka 18:17
Amin, nawaambia, mtu yeyote asiyeupokea ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo, hatauingia kamwe.”
Eksplore Luka 18:17
6
Luka 18:16
Lakini Isa akawaita wale watoto waje kwake, akasema, “Waacheni watoto wadogo waje kwangu, wala msiwazuie, kwa maana ufalme wa Mungu ni wa wale walio kama hawa.
Eksplore Luka 18:16
7
Luka 18:42
Isa akamwambia, “Basi upate kuona. Imani yako imekuponya.”
Eksplore Luka 18:42
8
Luka 18:19
Isa akamjibu, “Mbona unaniita mwema? Hakuna yeyote aliye mwema ila Mungu peke yake.
Eksplore Luka 18:19
Akèy
Bib
Plan yo
Videyo