1
Luka 10:19
Biblica® Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Tazama nimewapa mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge na juu ya nguvu zote za adui; wala hakuna kitu chochote kitakachowadhuru.
तुलना
खोजें Luka 10:19
2
Luka 10:41-42
Lakini Bwana Isa akamjibu, “Martha, Martha, mbona unasumbuka na kuhangaika na mengi? Lakini kunahitajika kitu kimoja tu. Mariamu amechagua kile kilicho bora, wala hakuna mtu atakayemwondolea.”
खोजें Luka 10:41-42
3
Luka 10:27
Akajibu, “ ‘Mpende Mwenyezi Mungu, Mungu wako, kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa nguvu zako zote, na kwa akili zako zote’; tena, ‘Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.’ ”
खोजें Luka 10:27
4
Luka 10:2
Akawaambia, “Mavuno ni mengi, lakini watendakazi ni wachache. Kwa hiyo mwombeni Bwana wa mavuno, ili apeleke watendakazi katika shamba lake la mavuno.
खोजें Luka 10:2
5
Luka 10:36-37
“Ni yupi basi miongoni mwa hawa watatu wewe unadhani ni jirani yake yule mtu aliyeangukia mikononi mwa wanyang’anyi?” Yule mtaalamu wa Torati akajibu, “Ni yule aliyemhurumia.” Ndipo Isa akamwambia, “Nenda, ukafanye vivyo hivyo.”
खोजें Luka 10:36-37
6
Luka 10:3
Nendeni! Tazama ninawatuma kama wana-kondoo katikati ya mbwa-mwitu.
खोजें Luka 10:3
होम
बाइबिल
योजनाएँ
वीडियो