1
Lk 21:36
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Basi, kesheni ninyi kila wakati, mkiomba, ili mpate kuokoka katika haya yote yatakayotokea, na kusimama mbele za Mwana wa Adamu.
तुलना
खोजें Lk 21:36
2
Lk 21:34
Basi, jiangalieni, mioyo yenu isije ikalemewa na ulafi, na ulevi, na masumbufu ya maisha haya; siku ile ikawajia ghafula, kama mtego unasavyo
खोजें Lk 21:34
3
Lk 21:19
Nanyi kwa subira yenu mtaziponya nafsi zenu.
खोजें Lk 21:19
4
Lk 21:15
kwa sababu mimi nitawapa kinywa na hekima ambayo watesi wenu wote hawataweza kushindana nayo wala kuipinga.
खोजें Lk 21:15
5
Lk 21:33
Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.
खोजें Lk 21:33
6
Lk 21:25-27
Tena, kutakuwa na ishara katika jua, na mwezi, na nyota; na katika nchi dhiki ya mataifa wakishangaa kwa uvumi wa bahari na msukosuko wake; watu wakivunjika mioyo kwa hofu, na kwa kutazamia mambo yatakayoupata ulimwengu. Kwa kuwa nguvu za mbinguni zitatikisika. Hapo ndipo watakapomwona Mwana wa Adamu akija katika wingu pamoja na nguvu na utukufu mwingi.
खोजें Lk 21:25-27
7
Lk 21:17
Nanyi mtachukiwa na watu wote kwa ajili ya jina langu.
खोजें Lk 21:17
8
Lk 21:11
kutakuwa na matetemeko makubwa ya nchi; na njaa na tauni mahali mahali; na mambo ya kutisha na ishara kuu kutoka mbinguni.
खोजें Lk 21:11
9
Lk 21:9-10
Nanyi mtakaposikia habari za vita na fitina, msitishwe; maana, hayo hayana budi kutukia kwanza, lakini ule mwisho hauji upesi. Kisha aliwaambia, Taifa litaondoka kupigana na taifa, na ufalme kupigana na ufalme
खोजें Lk 21:9-10
10
Lk 21:25-26
Tena, kutakuwa na ishara katika jua, na mwezi, na nyota; na katika nchi dhiki ya mataifa wakishangaa kwa uvumi wa bahari na msukosuko wake; watu wakivunjika mioyo kwa hofu, na kwa kutazamia mambo yatakayoupata ulimwengu. Kwa kuwa nguvu za mbinguni zitatikisika.
खोजें Lk 21:25-26
11
Lk 21:10
Kisha aliwaambia, Taifa litaondoka kupigana na taifa, na ufalme kupigana na ufalme
खोजें Lk 21:10
12
Lk 21:8
Akasema, Angalieni, msije mkadanganyika, kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ndiye; tena, Majira yamekaribia. Basi msiwafuate hao.
खोजें Lk 21:8
होम
बाइबिल
योजनाएँ
वीडियो