1
Lk 17:19
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Akamwambia, Inuka, enenda zako, imani yako imekuokoa.
तुलना
खोजें Lk 17:19
2
Lk 17:4
Na kama akikukosa mara saba katika siku moja, na kurudi kwako mara saba, akisema, Nimetubu, msamehe.
खोजें Lk 17:4
3
Lk 17:15-16
Na mmoja wao alipoona kwamba amepona, alirudi, huku akimtukuza Mungu kwa sauti kuu; akaanguka kifudifudi miguuni pake, akamshukuru; naye alikuwa Msamaria.
खोजें Lk 17:15-16
4
Lk 17:3
Jilindeni; kama ndugu yako akikosa, mwonye; akitubu msamehe.
खोजें Lk 17:3
5
Lk 17:17
Yesu akajibu, akanena, Hawakutakaswa wote kumi? Wale kenda wa wapi?
खोजें Lk 17:17
6
Lk 17:6
Bwana akasema, Kama mngekuwa na imani kiasi cha chembe ya haradali, mngeuambia mkuyu huu, Ng’oka, ukapandwe baharini, nao ungewatii.
खोजें Lk 17:6
7
Lk 17:33
Mtu ye yote atakaye kuiponya nafsi yake, ataiangamiza; na ye yote atakayeiangamiza ataiponya.
खोजें Lk 17:33
8
Lk 17:1-2
Akawaambia wanafunzi wake, Makwazo hayana budi kuja, lakini ole wake mtu yule ambaye yaja kwa sababu yake! Ingemfaa zaidi mtu huyo jiwe la kusagia lifungwe shingoni mwake, akatupwe baharini, kuliko kumkosesha mmojawapo wa wadogo hawa.
खोजें Lk 17:1-2
9
Lk 17:26-27
Na kama ilivyokuwa siku za Nuhu, ndivyo itakavyokuwa katika siku zake Mwana wa Adamu. Walikuwa wakila na kunywa, walikuwa wakioa na kuolewa, hata siku ile Nuhu aliyoingia katika safina, gharika ikashuka ikawaangamiza wote.
खोजें Lk 17:26-27
होम
बाइबिल
योजनाएँ
वीडियो