1
Yohana 2:11
Neno: Bibilia Takatifu
Huu, ndio uliokuwa muujiza wa kwanza Yesu aliofanya Kana ya Galilaya. Hivyo Yesu alidhihirisha utukufu wake, nao wanafunzi wake wakamwamini.
तुलना
खोजें Yohana 2:11
2
Yohana 2:4
Yesu akamwambia, “Mwanamke, nina nini nawe? Saa yangu haijawadia.”
खोजें Yohana 2:4
3
Yohana 2:7-8
Yesu akawaambia wale watumishi, “Ijazeni hiyo mitungi maji.” Nao wakaijaza ile mitungi mpaka juu. Kisha akawaambia, “Sasa choteni hayo maji kidogo, mpelekeeni mkuu wa meza.” Hivyo wakachota, wakampelekea.
खोजें Yohana 2:7-8
4
Yohana 2:19
Yesu akawajibu, “Libomoeni hili Hekalu, nami nitalijenga tena kwa siku tatu!”
खोजें Yohana 2:19
5
Yohana 2:15-16
Akatengeneza mjeledi kutokana na kamba, akawafukuza wote kutoka kwenye eneo la Hekalu, pamoja na kondoo na ngʼombe. Akazipindua meza za wale wabadili fedha na kuzimwaga fedha zao. Akawaambia wale waliokuwa wakiuza njiwa, “Waondoeni hapa! Mnathubutuje kuifanya nyumba ya Baba yangu kuwa mahali pa biashara?”
खोजें Yohana 2:15-16
होम
बाइबिल
योजनाएँ
वीडियो