Mattayo MT. 5:38-39

Mattayo MT. 5:38-39 SWZZB1921

Mmesikia walivyoambiwa, Jicho kwa jicho, na jino kwa jino: bali mimi nawaambieni, Msishindane na mtu mwovu; bali mtu akupigae shavu la kuume, mgeuzie na la pili.

Video for Mattayo MT. 5:38-39