1
Yohana 13:34-35
BIBLIA KISWAHILI
Amri mpya nawapa, Mpendane. Kama vile nilivyowapenda ninyi, nanyi mpendane vivyo hivyo. Hivyo watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu, mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi.
השווה
חקרו Yohana 13:34-35
2
Yohana 13:14-15
Basi ikiwa mimi, niliye Bwana na Mwalimu, nimewaosha miguu, imewapasa ninyi pia kuoshana miguu ninyi kwa ninyi. Kwa kuwa nimewapa kielelezo; ili kama mimi nilivyowatendea, nanyi mtende vivyo.
חקרו Yohana 13:14-15
3
Yohana 13:7
Yesu akajibu, akamwambia, Nifanyalo wewe hujui sasa; lakini utalifahamu baadaye.
חקרו Yohana 13:7
4
Yohana 13:16
Amin, amin, nawaambia ninyi, Mtumwa si mkuu kuliko bwana wake; wala mtume si mkuu kuliko yeye aliyemtuma.
חקרו Yohana 13:16
5
Yohana 13:17
Mkiyajua hayo, heri ninyi mkiyatenda.
חקרו Yohana 13:17
6
Yohana 13:4-5
aliondoka chakulani; akaweka kando mavazi yake, akatwaa kitambaa, akajifunga kiunoni. Kisha akatia maji katika bakuli, akaanza kuwaosha wanafunzi miguu, na kuifuta kwa kile kitambaa alichojifunga.
חקרו Yohana 13:4-5
בית
כתבי הקודש
תכניות
קטעי וידאו