1
Mattayo MT. 1:21
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Nae atazaa mtoto mwanamume, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, ndiye atakaewaokoa watu wake na dhambi zao.
Vertaa
Tutki Mattayo MT. 1:21
2
Mattayo MT. 1:23
Angalia, mwanamke bikira atachukua mimba, nae atazaa mwana, Na watamwita jina lake Immanuel; tafsiri yake, Mungu kati yetu.
Tutki Mattayo MT. 1:23
3
Mattayo MT. 1:20
Alipokuwa akifikiri haya, malaika wa Bwana akamtokea katika udoto, akisema, Yusuf, mwana wa Daud, usikhofu kumchukua Mariamu mke wako, maana mimba yake ni kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
Tutki Mattayo MT. 1:20
4
Mattayo MT. 1:18-19
Na kuzaliwa kwake Yesu Kristo kulikuwa hivi. Mariamu mama yake alipoposwa na Yusuf, kabla hawajakaribiana, alionekana ana mimba kwa uweza wa Roho Mtakatifu. Nae Yusuf, mumewe, kwa kuwa mtu wa haki, asitake kumwaibisha, aliazimu kumwacha kwa siri.
Tutki Mattayo MT. 1:18-19
Koti
Raamattu
Suunnitelmat
Videot