1
Luka 18:1
Neno: Maandiko Matakatifu
Kisha Isa akawapa wanafunzi wake mfano ili kuwaonyesha kuwa yawapasa kuomba pasipo kukata tamaa.
Comparar
Explorar Luka 18:1
2
Luka 18:7-8
Je, Mwenyezi Mungu hatawatendea haki wateule wake wanaomlilia usiku na mchana? Je, atakawia kuwasaidia? Ninawaambia, atawapatia haki upesi. Lakini je, Mwana wa Adamu atakapokuja ataikuta imani duniani?”
Explorar Luka 18:7-8
3
Luka 18:27
Isa akajibu, “Yasiyowezekana kwa wanadamu yanawezekana kwa Mungu.”
Explorar Luka 18:27
4
Luka 18:4-5
“Kwa muda mrefu yule hakimu alikataa. Lakini hatimaye akasema moyoni mwake, ‘Ijapokuwa simwogopi Mungu wala simjali mwanadamu, lakini kwa kuwa huyu mjane ananisumbuasumbua, nitahakikisha amepata haki yake ili asiendelee kunichosha kwa kunijia mara kwa mara!’ ”
Explorar Luka 18:4-5
5
Luka 18:17
Amin, nawaambia, mtu yeyote asiyeupokea Ufalme wa Mwenyezi Mungu kama mtoto mdogo, hatauingia kamwe.”
Explorar Luka 18:17
6
Luka 18:16
Lakini Isa akawaita wale watoto waje kwake, akasema, “Waacheni watoto wadogo waje kwangu, wala msiwazuie, kwa maana Ufalme wa Mwenyezi Mungu ni wa wale walio kama hawa.
Explorar Luka 18:16
7
Luka 18:42
Isa akamwambia, “Basi upate kuona. Imani yako imekuponya.”
Explorar Luka 18:42
8
Luka 18:19
Isa akamjibu, “Mbona unaniita mwema? Hakuna yeyote aliye mwema ila Mungu peke yake.
Explorar Luka 18:19
Inicio
Biblia
Planes
Vídeos