1
Yohana 8:12
Neno: Maandiko Matakatifu
Kisha Isa akasema nao tena akawaambia, “Mimi ni nuru ya ulimwengu. Mtu yeyote akinifuata hatatembea gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.”
Comparar
Explorar Yohana 8:12
2
Yohana 8:32
Ndipo mtaijua kweli nayo kweli itawaweka huru.”
Explorar Yohana 8:32
3
Yohana 8:31
Kisha Isa akawaambia wale Wayahudi waliomwamini, “Kama mkidumu katika maneno yangu, mtakuwa wanafunzi wangu kweli kweli.
Explorar Yohana 8:31
4
Yohana 8:36
Hivyo Mwana akiwaweka huru mtakuwa huru kweli kweli.
Explorar Yohana 8:36
5
Yohana 8:7
Walipoendelea kumuulizauliza akainuka, akawaambia, “Kama kuna mtu yeyote miongoni mwenu ambaye hana dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe.”
Explorar Yohana 8:7
6
Yohana 8:34
Isa akajibu, “Amin, amin nawaambia, kila atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi.
Explorar Yohana 8:34
7
Yohana 8:10-11
Isa akainuka na kumwambia, “Wako wapi wale waliokuwa wanakuhukumu kuwa mwenye hatia?” Yule mwanamke akajibu, “Hakuna hata mmoja, Bwana.” Isa akamwambia, “Hata mimi sikuhukumu. Nenda zako, kuanzia sasa usitende dhambi tena.”]
Explorar Yohana 8:10-11
Inicio
Biblia
Planes
Vídeos