1
Mwanzo 9:12-13
BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA
Tena Mungu akasema, “Hii ndiyo alama ya agano ninalofanya kati yangu nanyi na kila kiumbe hai kilicho pamoja nanyi kwa vizazi vyote vijavyo. Naweka upinde wangu mawinguni, nao utakuwa ishara ya agano kati yangu na dunia.
Comparar
Explorar Mwanzo 9:12-13
2
Mwanzo 9:16
Huo upinde utakapotokea mawinguni, nitauona na kulikumbuka agano hilo la milele kati yangu na viumbe vyote hai duniani.”
Explorar Mwanzo 9:16
3
Mwanzo 9:6
Amwagaye damu ya binadamu, damu yake itamwagwa na binadamu; maana binadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu.
Explorar Mwanzo 9:6
4
Mwanzo 9:1
Mungu akambariki Noa na wanawe, akiwaambia, “Zaeni, muongezeke, mkaijaze nchi.
Explorar Mwanzo 9:1
5
Mwanzo 9:3
Wanyama wote hai watakuwa chakula chenu kama vile nilivyowapa mimea kuwa chakula chenu.
Explorar Mwanzo 9:3
6
Mwanzo 9:2
Wanyama wote, ndege wote wa angani, viumbe wote watambaao juu ya nchi na samaki wote wa baharini watakuwa na hofu na kuwaogopa nyinyi. Wote wamewekwa chini ya mamlaka yenu.
Explorar Mwanzo 9:2
7
Mwanzo 9:7
Nanyi zaeni, mkaongezeke; zaeni kwa wingi, mkaongezeke nchini.”
Explorar Mwanzo 9:7
Inicio
Biblia
Planes
Vídeos