1
Mwanzo 15:6
BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA
Abramu akamwamini Mwenyezi-Mungu, naye Mwenyezi-Mungu akamkubali Abramu kuwa mwadilifu.
Comparar
Explorar Mwanzo 15:6
2
Mwanzo 15:1
Baada ya mambo hayo, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Abramu katika maono, “Abramu! Usiogope! Mimi ni ngao yako. Tuzo lako litakuwa kubwa!”
Explorar Mwanzo 15:1
3
Mwanzo 15:5
Hapo Mwenyezi-Mungu akamleta Abramu nje na kumwambia, “Tazama mbinguni! Zihesabu nyota, kama kweli utaweza kuzihesabu! Hivyo ndivyo wazawa wako watakavyokuwa wengi!”
Explorar Mwanzo 15:5
4
Mwanzo 15:4
Ndipo Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Huyu hatakuwa mrithi wako! Mwanao halisi ndiye atakayekuwa mrithi wako.”
Explorar Mwanzo 15:4
5
Mwanzo 15:13
Hapo Mwenyezi-Mungu akamwambia Abramu, “Ujue hakika ya kwamba wazawa wako watakaa kama wageni katika nchi isiyo yao, watakuwa watumwa na watateswa kwa muda wa miaka 400.
Explorar Mwanzo 15:13
6
Mwanzo 15:2
Lakini Abramu akasema, “Ee Mwenyezi-Mungu, utanipa nini hali naendelea kuishi bila mtoto, na mrithi wangu ni Eliezeri wa Damasko?
Explorar Mwanzo 15:2
7
Mwanzo 15:18
Siku hiyo, Mwenyezi-Mungu akafanya agano na Abramu akisema, “Wazawa wako ninawapa nchi hii, toka mto wa Misri hadi ule mto mkubwa wa Eufrate
Explorar Mwanzo 15:18
8
Mwanzo 15:16
Wazawa wako watarudi hapa katika kizazi cha nne, kwa sababu uovu wa Waamori haujakamilika bado.”
Explorar Mwanzo 15:16
Inicio
Biblia
Planes
Vídeos