1
Mwanzo 4:7
Neno: Maandiko Matakatifu
Ukifanya lililo sawa, je, hutakubalika? Lakini usipofanya lililo sawa, dhambi inakuvizia mlangoni mwako, inakutamani wewe, lakini inakupasa uishinde.”
Vergleichen
Studiere Mwanzo 4:7
2
Mwanzo 4:26
Naye Sethi akamzaa mwana, akamwita Enoshi. Wakati huo watu wakaanza kuliitia jina la BWANA.
Studiere Mwanzo 4:26
3
Mwanzo 4:9
Kisha BWANA akamuuliza Kaini, “Ndugu yako Habili yuko wapi?” Akamjibu, “Sijui, je, mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?”
Studiere Mwanzo 4:9
4
Mwanzo 4:10
BWANA akasema, “Umefanya nini? Sikiliza! Damu ya ndugu yako inanililia mimi kutoka ardhini.
Studiere Mwanzo 4:10
5
Mwanzo 4:15
Lakini BWANA akamwambia, “La sivyo, ikiwa mtu yeyote atamuua Kaini atalipizwa kisasi mara saba zaidi.” Kisha BWANA akamwekea Kaini alama ili mtu yeyote ambaye angemwona asimuue.
Studiere Mwanzo 4:15
Home
Bibel
Lesepläne
Videos