Logo YouVersion
Eicon Chwilio

Mwanzo 14:18-19

Mwanzo 14:18-19 ONMM

Ndipo Melkizedeki mfalme wa Salemu akaleta mkate na divai. Alikuwa kuhani wa Mungu Aliye Juu Sana. Naye akambariki Abramu, akisema, “Abarikiwe Abramu na Mungu Aliye Juu Sana, Muumba wa mbingu na nchi.