Logo YouVersion
Eicon Chwilio

Mattayo MT. 5:11-12

Mattayo MT. 5:11-12 SWZZB1921

M kheri ninyi watakapowatukana na kuwatesa na kuwanenea killa neno baya kwa uwongo, kwa ajili yangu. Furahini, shangilieni: kwakuwa thawabu yenu nyingi mbinguni; kwa maana ndivyo walivyowatesa manabii waliokuwa kabla yenu.