Logo YouVersion
Eicon Chwilio

Lk 24:31-32

Lk 24:31-32 SUV

Yakafumbuliwa macho yao, wakamtambua; kisha akatoweka mbele yao. Wakaambiana, Je! Mioyo yetu haikuwaka ndani yetu hapo alipokuwa akisema nasi njiani, na kutufunulia maandiko?